The House of Favourite Newspapers

WEMA, MANARA WATOA POLE KWA FAMILIA YA ZAKARIA

Jeneza lenye mwili Patrick likiwa viwanja vya Leaders, Dar.
Muigizaji wa filamu, Wema Sepetu,  akitoa pole kwa familia ya Peter Komu Zakaria.
Mkuu wa Habari na Mawasiliano wa klabu ya Simba, Haji Manara,  akiongea.
Muigizaji Emmanuel Mgaya maarufu kama Masanja Mkandamizaji akiongea.
Baba wa marehemu, Peter Zacharia,  akiongea.
Rose Alphonce Nungu ‘Muna‘ akiwa analia.
Mama mzazi wa Muna (katikati) akiongea.
Mwigizaji, Aunt Ezekiel (katikati) akiwa na mwanamitindo, Martin Kadinda (kulia).
Msanii wa Bongo Fleva, Khadija Shabani’Keisha’ .

MWIGIZAJI wa filamu, Wema Sepetu na Mkuu wa Habari na Mawasiliano wa klabu ya Simba, Haji Manara,  wamewaomgoza wasanii na watu mbalimbali kutoa pole kwa familia ya marehemu Patrick, Peter Zacharia na mke wake  Rose Alphonce ‘Muna Love’,   katika viwanja vya Leaders jijini Dar es Salaam ambapo maelfu ya waombolezaji, ndugu, jamaa na marafiki wamefika kuungana na wazazi wa marehemu.

(PICHA: RICHARD BUKOS, GPL)

Comments are closed.