The House of Favourite Newspapers

MASTAA WAMUAGA PATRICK WA MUNA

Muigizaji wa filamu, Wema Sepetu, (kulia) akiuaga mwili wa Patrick.
Mchekezaji Emmanuel Mgaya “Mkandamizaji’ akiaga.
Mwimbaji na muigizaji maarufu, Hemed ‘Phd’ Suleiman (kulia).
Mwigizaji na mshereheshaji, Mahsein Awadhi ‘Dk. Cheni’.
Mkuu wa Habari na Mawasiliano wa klabu ya Simba, Haji Manara (kulia).
Mwigizaji Kulwa Kikumba a.k.a Dude
Mfanyakazi wa Global Publisher, Musa Mateja.
Mwigizaji  Juma Chikoka.

Mastaa mbalimbali wamejitokeza kuuaga mwili wa mtoto wa mwigizaji Muna, Patrick,  katika viwanja vya Leaders jijini Dar es Salaam.

PICHA: RICHARD BUKOS | GPL

Comments are closed.