The House of Favourite Newspapers

Wema Sepetu Agawa Nywele za Krismas Kwa Mashabiki Zake Mlimani City

0
Miss Tanzania 2006, Wema Sepetu ambaye pia ni Msanii wa Bongo Movie akizungumza na wanahabari kabla ya kugawa nywele za Rasta kutoka Kampuni ya Angels.
Miss Tanzania 2006, Wema Sepetu ambaye pia ni Msanii wa Bongo Movie akisaini kwenye kipeperushi cha nywele za Rasta kutoka Kampuni ya Angels.
Baadhi ya mashabiki zake waliofika katika viunga vya Mlimani City Dar wakifuatilia tukio lililokuwa likiendelea.
…Sepetu akisaini kwenye kipeperushi cha nywele za Rasta kutoka Angels kwa ajili ya kumpatia zawadi ya Krismas mwanadada Nywele za rasta.
Pembeni ya Wema Sepetu ni baadhi ya wafanyakazi wa Kampuni ya Rasta ya Nywele za Angels.

 

KATIKA kuelekea sikuku ya Krismas ambayo husherehekewa na wakristo kote dunia ya kuzaliwa kwake yesu kristo Miss Tanzania 2006, Wema Sepetu ambaye pia ni balozi wa nywele za Angels amegawa rasta kwa mashabiki zake waliojitokeza katika viunga vya Mlimani City.

Akizungumza akiwa katika viunga vya Mlimani City,  Wema amesema kuwa katika kuhakikisha wanawake wanapendeza kuelekea sikuku hizo ni vyema kuwakumbuka kwa kuwapa zawadi hizo ambapo wanawake waliofika walijinyakulia Nywele za rasta Kutoka Kampuni ya Angels.

Leave A Reply