The House of Favourite Newspapers

Wolper Apewa Shavu na Boy Kitila Kwenye Video Yake Ya ‘Sawa’

 

MSANII mpya wa Bongo Fleva, Boy Kitila, amempa shavu staa wa sinema za Kibongo, Jacqueline Wolper Massawe kwenye video yake mpya ya ‘Sawa’.

Kuiona video hiyo, ingia Global App na kama huja-install, kuna link hapa chini:

Android ===>GooglePlay

iOS ===>AppStore

Baada ya kuingia bonyeza GLOBAL MUSIC

Comments are closed.