Wolper, Snura Wachuana Kutupia Picha Instagram

Msanii wa Bongo Movie, Jacqueline Wolper akiwa katika mapozi Matata yaliyowavutia wengi katika mtandao wa Instagram.

MASTAA wa Bongo, Jacqueline Wolper na Snura Mushi wameendela kuchuana kutupia picha kwenye mitandao ya kijamii ambapo hivi sasa mastaa wa kike wa ndani na nje ya nchi wamekuwa wakitupia picha za mitego katika kurasa zao za kijamii.

Ukirejea picha za mwanamitindo mwenye umaarufu mkubwa ulimwenguni Kim Kardashian West, unaweza kuona utamaduni huo wa kutupia picha za mitego mtandaoni unavyoshika kasi katika kipindi hiki cha kasi ya mawasiliano ya data.

Wolper akiwa katika pozi.

Aidha mashabiki wameonyesha kuvutiwa mno na picha za aina hiyo na kuwashawishi mastaa hao na wengine kuendelea kutupia katika kurasa zao za jamii.

Msanii Wa Bongo Movie Snura Mushi (Snura) akifanya yake.

Mapozi ya Snura yakiendelea.

Snura akimwagilia maua maji.


Werevaaaaaaa💁

A post shared by Jacqueline Wolper (@wolperstylish) on

Hili embe kiboko………… #nionee_wivu

A post shared by SNU SEXY MALKIA WA USWAZ (@snuramushi) on

Shinda Nyumba; Washindi wa Pikipiki, Televisheni, Simu Walivyokabidhiwa

Stori zinazo husiana na ulizosoma

Toa comment