The House of Favourite Newspapers

Yacouba Atua Yanga, Apokelewa Kifalme!

0

MCHEZAJI hatari wa Yanga, raia wa Burkina Faso, amewasili Bongo leo tayari kwa ajili ya kukitumikia kikosi cha ‘Wananchi’. Sogne Yacouba amepokelewa uwanja wa ndege na Mkurugenzi wa Uwekezaji wa Yanga, Hersi Said @enghersisaid  na mamia ya mashabiki wa klabu hiyo.

Sogne ni miongoni mwa wachezaji wa kimataifa wa Yanga ambao wamesajiliwa msimu huu, wengine ni Carlinhos, Michael Sarpong, Tuisila Kisinda na Mukoko Tonombe

Leave A Reply