The House of Favourite Newspapers

Yanga Dhidi ya Rivers Kuchezwa Bila Mashabiki

0
UONGOZI wa Klabu ya Yanga umethibitisha kuwa mechi yao ya kesho Jumapili Klabu Bingwa Afrika dhidi ya Rivers United ya Nigeria mashabiki hawataruhusiwa kuhudhuria mtanange huo utakaochezwa kwenye dimba la Benjamin Mkapa jijini  Dar es salaam.
 
Taarifa hiyo imebainisha kuwa CAF imezuia mashabiki kwa sababu Tanzania bado haijafikia viwango vya shirikisho hilo juu ya protokali za usimamizi wa ugonjwa wa Uviko-19.

Leave A Reply