The House of Favourite Newspapers

Utajiri Upo Katika Sloti ya Bounty Hunters Mchezo wa Kasino Meridianbet

0

Furahia Mavuno na Bounty Hunter Kasino ya Mtandaoni.

 

Congo DR inasifika sana kwa wingi wa madini ya dhahabu, tangu miaka ile inaitwa Zaire ya Kina Mobutu Sese Seko, na hadi leo hii nchi hiyo unaambiwa ukigusa tu kuchimba chini una uwezekano mkubwa wa kupata madini. Meridianbet Kasino ya Mtandaoni kuna mchezo unahusu mbinu za kusaka madini msituni unaitwa Bounty Hunters. Jisajili Meridianbet kuwa moja ya wawindaji wa ushindi.

 

Sloti ya Bounty Hunters ina mfumo wa bunduki na sifa ya kuwa na wazungushaji, watawanya mafuvu na wanyama mwitu wenye mabegi ya dhahabu. Ni sloti inayokupatia faida mara 96.31% pamoja na mistari 40 ya malipo kila unapoicheza. Pia kuna bonasi za kasino na mizunguko ya bure.

 

Je unahitaji kucheza kasino ya mtandaoni na hauna akaunti ya meridianbet, jisajili hapa kisha utazawadiwa mizunguko ya bure kucheza kasino na michezo ya sloti.

 

Sloti Yenye Mandhari ya Nchi za Magharibi

 

Unapouanza mchezo huu wa kasino ya mtandaoni muonekano wake unavutia sana, ni mithili ya nchi za kimagharibi kutokana na mtindo wake na wahusika wake waliopo ndani, hakika sloti ya Bounty Hunters inavutia kupita maelezo, ishi ndani ya mchezo huu.

 

Kucheza sloti ya Bounty Hunters ni rahisi sana kwasababu unaanza na kuweka dau lako. Kiwango cha chini zaidi ni 0.1 kwa kila mstari na cha juu ni 1,200. Weka kiwango unachohitaji na kisha zungusha ili kuanza safari. Vitufe vyote vipo katika sehemu zake za kawaida. Unaweza kubofya spin ili kuanza mchezo au kutumia Autoplay ili kuzungusha reels mara kadhaa (mpaka mara 250).

 

Utakuwa unajitahidi kumkamata muhalifu wa dhahabu ili upate sarafu 100 kwa 5 kwenye mstari. Mwanamke analipa 80 kwa mchanganyiko kama huo, kama ilivyo kwa mwanaume aliyevaa bandana. Alama ya Wild unaweza kukupa mchanganyiko wa ushindi mkubwa na unalipa zaidi, sarafu 150 kwa 5 kwenye mstari.

 

Vilevile kuna joka mwitu, lakini hili linatokea kwenye mzunguko wa bonasi pekee. Pia bonasi ya alama ya fuvu inalipa zaidi ukipatia mara 3 na ukicheza mizunguko ya bure.

 

Hii yote inaifanya sloti ya Bounty Hunters kuwa na thamani ya safari ya Kimagharibi. Ingia kwenye Kasino ya Mtandaoni Meridianbet na ukusanye maokoto ya kutosha. Pia ukibashiri michezo mingi kwa odds kubwa za Meridianbet unajiweka karibu Zaidi na mafanikio ya Utajiri.

 

Leave A Reply