The House of Favourite Newspapers

Yanga Wamaliza Nafasi ya pili hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika

0

Yanga wamemaliza wakiwa nafasi ya pili huku Mabingwa watetezi, Al Ahly wakimaliza kileleni mwa kundi D kwenye hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika.

FT: AL AHLY 🇪🇬 1-0 🇹🇿 YANGA SC
⚽ El Shahat 46’

FT: CR Belouizdad 🇩🇿 3-0 🇬🇭 Medeama Sc
⚽ Benguit
⚽ Wamba
⚽ Jallow

MSIMAMO KUNDI D
1. 🇪🇬 Al Ahly — 12
2. 🇹🇿 Yanga Sc — 8
3. 🇩🇿 CR Belouizdad — 8
4. 🇬🇭 Medeama — 4

Al Ahly na Yanga SC wamefuzu hatua ya robo fainali huku CR Belouizdad na Medeama wakiaga.

Leave A Reply