The House of Favourite Newspapers

Yanga Yafanya Mazoezi Uwanja wa Uhuru

Kiungo wa Yanga, Papy Tshishimbi akiwa katika mazoezi ya timu hiyo yaliyofanyika kwenye Uwanja wa Uhuru, leo asubuhi.
Wachezaji wa Yanga wakionyeshana ujuzi wakati wa mazoezi.
Straika wa Yanga, Donald Ngoma (kushoto) akizungumza na beki wa timu hiyo, Juma Abdul.

Kikosi cha Yanga, kimeendelea na mazoezi yao ya kawaida kwenye Uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam kujiandaa na mchezo wao ujao wa Ligi Kuu ya Vodacom dhidi ya Ruvu Shooting.

(PICHA: MUSA MATEJA | GLOBAL PUBLISHERS)

Comments are closed.