The House of Favourite Newspapers

YANGA YAREJEA NCHINI USIKU, YAANZA MAZOEZI KUJIANDAA NA LIGI KUU

MABINGWA Watetezi wa Ligi Kuu Bara wamerejea usiku wa kuamkia leo kwa mchezo wao wa kombe la FA dhidi ya Majimaji utakaopigwa keshokutwa jumapili kwenye uwanja wa Majimaji mjini Songea.

 

Baada ya Yanga kucheza mechi ya ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya St Louis ya Shelisheli na kufanikiwa kufuzu hatua inayofuata mchezo uliopigwa kwenye Uwanja wa Linite, Shelisheli Akizungumzia Mchezo wao huo Beki wa Yanga Juma Abdul amesema kuwa ulienda vizuri kwa upande wao mpaka kufanikisha kufuzu hatua ya hiyo ya awali ya michuano hiyo kwa ujumla ya mabao 2-1 baada ya juzi kutoka sare ya bao 1-1.

Comments are closed.