The House of Favourite Newspapers

Yemi Alade akiri kuwa na uhusiano na meneja wake

0

YEMI-ALADEYemi Alade.

BAADA ya uvumi wa miaka mingi kuhusu uhusiano na meneja wake, mwimbaji wa kike wa Nigeria, Yemi Alade, amewaambia mashabiki wake kwamba ni kweli kwamba wawili hao wana uhusiano.

Amesema uhusiano wake na Taiye Aliyu si wa aina ya ule ambao watu wanaufikiria.
“Kitu hiki kinafahamika kwa miaka mingi. Habari hii bado inavuma? Ndiyo, ni kweli, nina uhusiano naye; uhusiano wa kikazi. Yeye ni meneja wangu, anasimamia muzingi wangu na si maisha yangu binafsi.

When we gave the instance of Tiwa Savage who vehemently denied dating her then Manager, Teebilliz until their shocking marriage proposal popped up, Yemi Alade, swiftly reminded Nigeriafilms.com that her name is ‘Yemi’, so her case should be different.
“Jina langu ni Yemi Alade, sijui nini kitatokea kesho, lakini watu wako huru kufikiria chochote. Siwezi kumzuia mtu kufikiria anachotaka,” alisema mwanamuziki huyo mrembo.
Kuhusu mwanamme anayataka kuwa naye, msanii huyo alisema ni lazima awe mpole, mwsenye mipango ya maana, anayemwogopa Mungu na awe na ikiwezekana awe mkwanja.

Leave A Reply