Zahera Afichua Kilichomleta Yanga na Kuwabwaga Wazambia -Video

Kocha wa Yanga Mwinyi Zahera.

Kocha wa Yanga Mwinyi Zahera ameweka wazi ukweli kuwa alikuwa akitakiwa na timu moja kubwa nchini Zambia ambayo aliiongoza kwa kipindi kifupi kwa mafanikio bila mkataba, lakini alikataa na kuja Yanga.

Zahera pia ameeleza sababu ya ‘kulia’ baada ya mchezo wao dhidi ya Tanzania Prisons uliopigwa Desemba 3, 2018 kwenye Uwanja wa Sokoine Jijini Mbeya. Zahera amesema waamuzi wa mchezo ule, wachezaji pamoja na mashabiki ndiyo sababu ya yeye kutokwa machozi wakati akiwa kwenye mahojiano na Azam TV. Amefafanua kuhusu taarifa za kutumia fedha zake binafsi kuwapa wachezaji huku akiahidi kuyamaliza matatizo yote ya Yanga ndani ya miezi miwili.

JIUNGE NA FAMILIA YA GLOBAL TV UPANDE MTANDAO WA MAFANIKIO

Bofya hapa kujiunga na familia ya Global TV Club ==> Global TV Family Club

Loading...

Toa comment