The House of Favourite Newspapers

Zantel Yafanya Ziara Ofisi Ya Rais wa Zanzibar

0

DSC_8447

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia)akisalimiana na Bw ,Mauricio Ramos, Mtendaji Mkuu wa kampuni ya “Millicom Group”akiwa na ujumbe wake walipofika Ikulu Mjini Unguja kwa mazungumzo leo (kushoto) Nd,Benoit Janin Mtendaji Mkuu wa Zanztel  23/08/2016.

DSC_8483Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akizungumza na Bw, Mauricio Ramos, Mtendaji Mkuu wa kampuni ya “Millicom Group”akiwa na ujumbe wake walipofika Ikulu Mjini Unguja kwa mazungumzo leo 23/08/2016.
DSC_8449

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akisalimiana na Bibi Rachel Samren Naibu Mtendaji Mkuu wa kampuni ya Millicom Group pia Mtendaji Mkuu wa Bodi ya Zanztel (katikati) Bw,Mauricio Ramos,Mtendaji Mkuu wa kampuni ya “Millicom Group”(wa pili kulia) na (kushoto) Nd,Benoit Janin Mtendaji Mkuu wa Zanztel  ujumbe huo ulifika Ikulu Mjini Unguja leo kwa mazungumzo na Rais leo 23/08/2016

DSC_0009

Mkurungenzi Mtendaji wa Millicom Group Mauricio Ramos akiwa kwenye ya pamoja na wanafanya kazi wa kampuni ya simu za mkononi ya Zantel Zanzibar baada ya kufanya ziara ya kutembelea ofisi za kampuni hiyo Zanzibar.

DSC_0017Mkurungenzi Mtendaji wa Millicom Group Mauricio Ramos (katikati) akifurahia zawadi aliyokabidhiwa na wanafanya kazi wa kampuni ya simu za mkononi ya Zantel Zanzibar baada ya kufanya ziara ya kutembelea ofisi za kampuni hiyo Zanzibar.

Leave A Reply