The House of Favourite Newspapers

Zari ‘All White Ciroc Party’ yafunika Kampala

0

12354028_634235383383477_2132529986_nMpenzi wa staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond’, Zarinah Hassan ‘Zari The Boss Lady’ akiwa katika gari kuelekea katika usiku shoo yake ya  All White Ciroc Party iliyofanyika jana usiku kwenye club Guvnor jijin Kampala.

ZARI345Zari akipanda gari.

ZARI734 ZARI834

Zari akiwa katika picha ya pamoja na mashabiki zake.

ZARI0923

Wakiendelea kujiachia.

ZARI234Wakiwa katika ubora wao.

Leave A Reply