Zawadi Nyingine Ya Sikukuu Toka Kwa Dayna Nyange, ‘Jiba’ Wimbo Mpya

 

Msanii wa kike wa Bongo Fleva Dayna Nyange ametubless na wimbo mpya ‘Jiba’ wa kufungulia sikukuu ya Krismas.

 

Audio imetengenezwa na Mr T Touch pamoja na Davy Machord.

 

Chini kabisa unaweza ku download kama umeipenda.

 

 

Tumekuwekea hapa video mpya zinazofanya vizuri kwa sasa,  ingia Global App na kama huja-install, tumekuwekea link hapa chini:👇👇👇👇

Android ===>GooglePlay

iOS ===>AppStore

Isikilize hapa.

 

 

 

DOWNLOAD AUDIO|MP3


Loading...

Toa comment