The House of Favourite Newspapers

ZITTO KABWE – “NATETEA CAG ASITOMASWE TOMASWE” – VIDEO

Mbunge wa Kigoma Mjini na Kiongozi wa ACT Wazalendo, ZITTO Zuberi Kabwe, leo Januari 13, Anazungumza na wanahabari kuhusiana na sakata la SPIKA wa BUNGE, Job Ndugai, kumtaka Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) Profesa Musa Assad, Kuripoti katika kamati ya Bunge na Maadili na Haki, kutokana na kauli yake ya kuliita Bunge kuwa ni dhaifu.

Zitto amesema kabla ya CAG yeye alishawahi kuandika sababu kumi zinazothibitisha kuwa Bunge ni Dhaifu.

Zitto amesema kilichosababisha yeye na Wabunge wengine kulipeleka suala hili Mahakamani na kuitaka Mahakama imzuie CAG Kuitikia woto wa Spika ni kwa sababu anaujua umuhimu wa ofisi ya Spika na si kwamba anamtetea.

 

JIUNGE NA FAMILIA YA GLOBAL TV UPANDE MTANDAO WA MAFANIKIO

Bofya hapa kujiunga na familia ya Global TV Club ==> Global TV Family Club

Comments are closed.