The House of Favourite Newspapers

ZITTO: Tulieni Niwapige Nondo, Hamna Pesa Nyinyi – Video

Mbunge wa Kigoma Mjini (ACT Wazalendo), Zitto Kabwe amedai serikali kuwa inapanaga kutekeleza miradi mikubwa ili hali haina pesa ya kutekeleza miradi hiyo ambayo ameielezea kuwa ni gharama kubwa.

 

Akichangia hotuba ya Bajeti ya Wizara Ofisi ya Makamu wa Rais – Muungano na Mazingira, Zitto amesema kuwa licha ya kujigamba kuwa serikali ina uwezo wa kujenga mradi huo lakini ukweli ni kwamba haina pesa ya kufanya miradi hiyo.

 

Awali akitolea ufafanuzi suala hilo waziri wa Ardhi, nyumba na Maendeleo ya makazi William Lukuvi alisema, suala la ujenzi wa mradi wa kuzalisha umeme wa stiglers linamanufaa makubwa kwa taifa.

MSIKILIZE ZITTO AKIFUNGUKA

Comments are closed.