Canosa Waibuka Kidedea Shindano La Speling

Mkurugenzi wa Oparesheni wa Coconut waratibu wa shindano hili, Baraka Konkara akizungumza baada ya wanafunzi hao kukabidhiwa zawadi hizo.

Shule ya Msingi Canosa iliyopo Tegeta Nyuki, Dar imetunukiwa zawadi ya vifaa mbalimbali vya kujisomea (Library) na Oxford Universt Press baada ya wanafunzi hao kuwashinda wengine katika shule mbalimbali hapa nchini katika shindano la speling (matamshi). Shindano hilo limeratibiwa na Taasisi ya Coconut ambapo linaratajiwa kuendelea kufanyika kila mwaka.

Wanafunzi walioshinda wakiwa kwenye picha ya pamoja na wazazi wao.

Miss Benadeta kutoka Oxford University Press ambao ndiyo waliyotoa zawadi hizo akielezea mchakato wa kuwapata washindi hao ulivyofanyika.

Mmoja wa washindi akiwa na zawadi yake.

Wanafunzi wengine wakiangalia mambo yanavyoendelea.

HABARI: NEEMA ADRIAN PICHA: RICHARD BUKOS /GPL


Loading...

Toa comment