Kolabo Mpya ya Aslay, Rich Mavoko & GNako Usipime, Icheki Hapa
Nyingine kali ya mwaka 2019 msanii toka Arusha G Nako amewakutanisha Aslay pamoja na Rich Mavoko na kuwaweka kwenye nyimbo moja ya Edda.
Wimbo umetengenezwa na S2Kizzy.Unaweza ku download baada ya kuusikiliza chini.
Tumekuwekea hapa video mpya zinazofanya vizuri kwa sasa, ingia Global App na kama huja-install, tumekuwekea link hapa chini:👇👇👇👇
Android ===>GooglePlay
iOS ===>AppStore
Isikilize hapa.
Comments are closed.