The House of Favourite Newspapers

Magufuli awasalimu wananchi na kukagua barabara ya Moro-Dodoma

0

1Msafara wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. Dkt. John Pombe Magufuli ukipita katika eneo la Msamvu mjini Morogoro kuelekea Dodoma.

2
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwasalimia wakazi wa Msamvu mjini Morogoro wakati akiwa njiani kuelekea Dodoma.

5 6Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. Dkt. John Pombe Magufuli akiwasalimia wakazi wa Wami dakawa mkoani Morogoro wakati akiwa njiani kuelekea Dodoma

7Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwasalimia wakazi wa eneo la Magole mkoani Morogoro.

8Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwasalimia wakazi wa Dumila Mkoani Morogoro wakati akielekea Dodoma kwa kutumia usafiri wa Gari.

9 10Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akiangalia ukarabati unaondelea katika barabara kuu ya Morogoro-Dodoma eneo la Kibaigwa . sehemu ya barabara hiyo inakarabatiwa chini ya usimamizi wa Wakala wa Barabara nchini TANROADS. PICHA NA IKULU

Leave A Reply