The House of Favourite Newspapers

Rucky Baby aibuka kama Farao

0

IMG_8364Msanii wa Muziki wa Kizazi Kipya, Rukia Jumbe ‘Rucky Baby’ anayetamba na ngoma ya Give Me Some More, wikiendi iliyopita alizua gumzo kwenye uzinduzi wa Video ya Wimbo wa Lupela wa Msanii Ali Kiba baada ya kuibuka na vazi kama la Farao (aliyekuwa Mfalme wa Misri).

Akizungumza shabiki mmoja aliyehudhuria uzinduzi huo uliofanyika kwenye Ukumbi wa Hoteli ya Slipway jijini Dar, alisema vazi alilovaa msanii huyo limemkumbusha enzi za ubabe wa Mfalme Farao.“Wasanii wana mambo, hilo vazi alilovaa Rucky Baby limenikumbusha enzi za Mfalme Farao,” alisema.

Leave A Reply