The House of Favourite Newspapers

Simulizi Ya Msamaha Wa Mama – 14

saedddIlipoishia:

Kipindi Raya anapiga hatua nyuma ya bibi harusi huku umati wa watu ukiwa unapiga makofi, kwa bahati mbaya alikanya gauni lake refu akaanguka chini. Upepo kidogo ulikuwa unapiga muda huo, gauni lote lilipanda juu, surual ya jinzi aliyokuwa ameivalia  ndani ndio ikawa imemnusuru kumwaga radhi mbele ya umati wa watu, huku baadhi ya watu wakianza kutoa macho na maneno ya mshangao.

Songa nayo…

Raya aibu zilimuingia baada ya kuona watu wamemtolea macho ya mshangao, aliinuka chini akamuomba Seid aliekuwa pembeni yake amtoe eneo lile, aliinuka wakaanza kutembea seid akampeleka mpaka nyuma ya nyumba, walipofika alijipangusa pangusa huku akiangalia kila kitu kilivyoharibika mwilini mwake, Seid nae alitumia muda huo kumwangalia msichana raya namna alivyoumbika, macho yake yalivyokuwa yakimtazama ni zaid ya macho yaliyoona nyota nyeupe mbele yake, Alimthaminisha msichana huyo  na kuona kama hakuna msichana mzuri alie wahi kukutana nae akawa ameumbika kiaina yake namna ile, alisahau dhumuni la kumpeleka nyuma ya nyumba na kuanza kuwaza mengine.

“Oooooh mwanamke mrembo sana huyu!.
Maneno yalipita moyoni, Raya aliinuka akasimama na kumuona jinsi seid anavyomuangalia.
” Umeshamaliza?. Seid aliuliza kwa kuzuga.
” Ndio nimemaliza tunaweza kwenda sasa hivi naona niko sawa.
” Okey, unaitwa nani?. Aliona si vibaya akimuuliza jina.
” Raya.
” Wao jina zuri kama wewe mwenyewe mimi naitwa Seid.
” Asante na wewe pia jina zuri.
” Thank you ( Asante ) unasoma bado?
” Ndio nimeingia chuo mwaka huu.
” Unasomea nini?. sorry. Aliuliza na kusema samahani seid akihisi uenda anamkwaza bibie huyo kwa maswali yake.

Kwa mara ya kwanza tokea azaliwe alipata bahati ya kuongea na msichana alieonekana kukamilika kila idara katika mwili wake, tayari akilini alishajenga kitu tofauti juu ya raya, aliitaji kutumia muda huo kupata japo namba ya cm, huku harusi ikiendelea baada ya bibi harusi kufika sehemu aliyokuwa anatakiwa kukaa na kukalishwa na moja ya ndugu zake wa karibu.

” Mimi nasomea Sheria. Alisema raya kujibu swali la seid.
” ina maana umemaliza kidato cha sita msimu huu?.
” Ndio. Naona kama tunachelewa lakini kwa nini tusiende kwanza alafu tutaongea tu badae.?. Aliuliza raya.
” No Raya, ujue kuna usemi usemao kiwezekanacho sasa hivi kifanyike sasa kisingoje badae, nijibu tafadhali..
” Ndio nimemaliza kidato cha sita mwaka huu na nimepata majibu ya kuendelea.
” Basi tuko njia moja na nadhani muda si mrefu tunaweza kukaa darasa moja kupiga kitabu cha chuo.

Raya alimuangalia usoni Seid kwa mshangao baada ya kusema hivyo akamuuliza ” na wewe ndio umeingia chuo?
” Ndio. kama ulipata habari za kuuzwa kwa matokeo yalikuwa yangu, yameuzwa na kusababisha matokeo yarudiwe, ila namshukuru Mungu na baadhi ya wazee wangu, nimeingia chuo.
” ooooooh nimefurahi sana kukufahamu, ina maana kumbe niko na kampani yangu mpya ya darasani.
” inawezekana, bado wiki mbili tu na nadhani tukiachana hapa tutakutana class.
” Ok basi naomba nikupe namba yangu ya cm kisha tutaongea vizuri pliiiz.

Raya aliingiwa furaha ya ghafla, alipojua seid nae yuko chuo, kisha tayari wamejuana, kwani muda wote alikuwa anajiuliza akiingia darasan siku ya kwanza ataongea na nani zaid ya upweke ambao ungemfanya kuwa na msongamano wa mawazo.

Alitoa cm yake iliyokuwa nokia kubwa ya kupangusa, Seid aliingiwa na aibu baada ya kuuona msimu wa Raya, mawazo yakamuingia akajisemea huku akitembeza macho ” aisseee kwa cm hii nitoe kacm kangu haka na kwa suti hii niliyovaa si atanishangaa sana? Hapana ni aibu kubwa sitoi..
” Kwa nini nisikupe za kwangu kisha ukazipiga kwa sababu cm yangu nimeiacha nyumbani. Alisema hivyo akijua kabisa ameiweka Silent hata akipiga haina shida.
” Ok nitajia phone namba yako.
” sifuri, saba, kumi na mbili, 840431
” Asante sana, nitaipiga badaye, alafu tutaongea kiurefu zaidi, nimefurahi sana kukufahamu.
” Na mimi pia nimefurahi kukufahamu.

Walishikana viganja vya mikono kisha wakaachiana, Seid alihisi ameushika mkono wa malkia wa dunia nzima namna ashk ya mkono wa raya ilivyomuingia hadi moyoni,  walirudi sehemu ambayo kulikuwa na shuguli yenyewe, wakapita moja kwa moja hadi kwenye viti vya mbele vya kukaa wageni waalikwa au watu wa karibu wa pande zote mbili.

Masheikh na mawalii wa kusimamia ndoa walikaa eneo husika, ndoa ilianza kufungwa rahma machozi yakimtoka,  ukimya kwa watu wote ulitawala, mpaka pale masheikh walipomaliza kufungisha ndoa ndipo shangwe na madufu ya ngoma za harusi yakaanza kurindima, Rahma hakuweza kuvumilia uvumi wa sauti za watu wanavyoshangilia kuolewa kwake, alianguka chini akapoteza fahamu.

Mshangao uliwaingia upya watu baada ya kuona mwana mwari anaanguka chini, bahati nzuri harusi tayari ilishakamilika, alinyanyuliwa akabebwa na kuingizwa ndani kwa kuwa Ticha alishakuwa mumewe halali, walimpitisha moja kwa moja hadi chumbani Kitandani.

Misosi na mambo mengine yalifata kwa nje, Rusha roho la kiutu uzima lilianza, huku nyimbo za zamani zamani za mwondoko wa mwambao zikiwaachia watu ujumbe mzito. Ilipofika saa moja kamili zilianza zile za kisasa, mduara mkubwa ukaundwa na kuchezeka kitaalam, vijana na kanzu zao, watoto wakike na madela yao, waliusakata vilivyo ndani ya mduara mziki wa Taarabu, Huku wengi wakikosheka roho zao kutokana na maneno matam yaliyokuwa yakitolewa na waimbaji mchanganyiko kama, mfalme, isha, malkia na wengine wengi.

Rahma baada ya kurudisha fahamu zake, alishangaa kujikuta Kitandani akiwa yeye na Ticha tu chumbani, Ticha alimuangalia rahma akamuachia busu la paji la uso, rahma alikwepesha macho kumuangalia mume wake, mapigo ya moyo yalianza kwenda mbio kutokana na uwoga wa kitendo alichojua ndicho kinachofata mbeleni baada ya kuolewa.

” Mbona mapigo ya moyo yanaenda mbio Rahma!?. Rajabu ambaye ni Ticha alimuuliza mke wake alipouona moyo wake unapiga mpaka kwa nje.
” naogoopa miimi. aliongea kwa sauti ya chini chini

” Rahma mke wangu, najua hujawai kufanya hiki kitendo ndio maana unaogopa, ila ni hali ya siku moja tu siku nyingine zote utafurahi usijali, nikuulize swali!? ,, ticha alisema.

Hakuweza kujibu kutokana na machozi tayari kumlenga lenga, alitikisa tu kichwa akimanisha amekubali amuulize.
” Unanipenda!? ,,Ticha aliuliza kwa sauti iliyokuwa imejaa hubba za kutosha. Rahma alitikisa tena kichwa akimanisha ndio.
” Basi naomba uwe tayari kwa hili mke wangu, najua utaumia ila sii sana na kuna utamu flan utaupata tafadhali Habiib okey!?.

Ticha hakuitaji kupoteza muda, alijua hiyo ni nafasi yake nzuri ya kuungana na walimwengu wengi wanaofaidi raha za tunda lililoumbwa na Mwenye ezi Mungu kikamilifu, alimpa maneno ya kumpa moyo rahma, alikuwa na hamu sana juu ya tendo hilo, alichojoa nguo zake moja baada ya nyingine akawa amebaki na boxa tupu.

katika angaika angaika kitandani ili kukaa vizuri, Rahma alifanikiwa kuona boxa ilivyotuna ikiashiria ndani kuna balaa, alifumba macho akiwa tayari anagugumia kwa kilio, mwili wote ulisisimka huku mawazo yakimtanda.
” Mungu wangu, ndio kinaingia mwilini mwangu kile chote kilichojaa kwenye boxa? . Ticha hakuacha kumpa maneno mazuri ya kumtia moyo, alimvua nguo moja baada ya nyingine akimgeuza geuza huku na kule mpaka alipobaki na ya ndani, taratibu alianza kumsifia alivyomzuri maeneo flan ya mapajani, vifuu vyake vilisimama imara, Ticha alipenya kati kati ya mapaja yake, Rahma akiwa hajiwezi kwa kilio, aliweka mikono huku na huku, akainama kidogo na kuanza kufaidi unyonyaji wa embe dodo zilizoiviana, alifyonza kwa juu huku ndege wakilalamika jinsi anavyowachukulia chakula chao, lakini alishindwa kuwajibu kwa sababu tayari alikuwa na ham nazo.

Usikose kusoma Sehemu Ya 15 ya Story hii kesho..
Wasiliana sasa na mtunzi/mwandishi:
  >   WHATSAPP/CALL: 0774320110
  >   Facebook page: hadithi za seid

Comments are closed.