Wiki Ya Ushindani Kuadhimishwa Desemba 3 Hadi 5, Dar

Mkurugenzi Mkuu wa Tume ya Ushindani Godfrey Machimu.

TUME ya Ushindani Tanzania (FCC) kwa kushirikiana na Mamlaka za EWURA, LATRA, PURA, FCT, TCAA, TCRA na TASAC wanawakaribisha Wananchi katika wiki ya Maonyesho ya Ushindani Duniani yatakayofanyika katika Viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam kuanzia Desemba 3-5, 2019.

Kutembelea na kushiriki maonyesho hayo ni bure kabisa, mgeni rasmi katika katika kilele cha maadhimisho hayo atakuwa Waziri Wa Viwanda na Biashara Inocent Bashungwa.


Loading...

Toa comment