The House of Favourite Newspapers

🔴#Live Bunge la Bajeti Laanza Dodoma kwa Kumuenzi Magufuli

0

Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania limeanza mkutano wa Bajeti kuanzia leo Jumanne, Machi 30 hadi Juni 30 ambapo limeazimia kutambua na kuenzi maisha ya Rais wa Awamu ya Tano wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Hayati Dkt. John Magufuli na kumpongeza Rais Samia Suluhu Hassan

Leave A Reply