The House of Favourite Newspapers

🔴#LIVE: Shigongo Aapishwa Kuwa Mbunge wa Buchosa, Bungeni Dodoma

0

Leo Jumatano, Novemba 11, Eric James Shigongo ameapa kuwa Mbunge wa Jimbo la Buchosa, Bungeni jijini Dodoma. Zoezi la kuwapisha wabunge wote lilianza jana na litaendelea mpaka kesho.

Kwa taarifa na matukio yote ya Bungeni leo tembelea Application ya Global Publishers 

Leave A Reply