Nafasi za Kazi Leo Aprili 19, 2017

MTU BINAFSI NAFASI: Vijana wa mauzo (nafaka maharage)

SIFA: Awe na umri wa miaka 18 (wake kwa waume), uwezo wa kujieleza, mtanashati, elimu kuanzia darasa la 7- kidato cha 4 na wawe wakazi wa Dar MAWASILIANO: 0625851190 Mwisho wa kutuma maombi ni Septemba 30, 2017

INTERNATIONAL PEDIATRIC AIDS NAFASI: Mtaalam wa Lishe

SIFA: Awe na uelewa wa lishe, aweze kuwapa somo wagonjwa wa Ukimwi jinsi ya kutumia lishe bora kwa afya zao na awe tayari kufanya kazi kwa ajili ya waathirika wa virusi vya Ukimwi.
Mkuu, Tanzania Teachers’ Union, Bwawani Street, Plot No 42, Manispaa ya Kinondoni, P. O. Box 61110, DAR-ES-SALAAM. Mwisho wa kutuma maombi ni Machi 21, 2017.
RADAR SECURITY TANZANIA LTD NAFASI: Ulinzi

SIFA: Awe Mtanzania kwa kuzaliwa, mwadilifu, elimu kuanzia kidato cha nne, umri miaka 22-35, aweze kuandika na kuongea Kiingereza na Kiswahili, awe amepitia mafunzo ya mgambo au JKT. MAWASILIANO: PO Box 802, Dar es Salaam, 255 022 5500138, 255 782 021483, 0687 373184 Mwisho wa kutuma maombi ni Aprili 21, 2017.

SIFA: Digrii ya kwanza, au Advanced Diploma ya Uhasibu na ambaye amesajiliwa na Bodi ya Uhasibu (NBAA) MAWASILIANO: Meneja Mkuu, Shirika la Masoko Kariakoo, P.O.Box 15789, Dar es Salaam Mwisho wa kutuma maombi ni Machi 27, 2017
TANZANIA TEACHERS UNION (TTU) NAFASI:

Afisa Habari SIFA: Awe na Digrii au Diploma ya utawala kutoka chuo kinachofahamika, awe mbunifu na mchangamfu, aweze kufanya kazi kwenye shinikizo, mwenye kufikiria mbele, mbunifu na mwenye umri wa miaka 45. MAWASILIANO:

MAWASILIANO: Utawala, Baylor College of Medicine Children’s Foundation, P.O. Box 2663 Mbeya, Tanzania. Mwisho wa kutuma maombi ni Aprili 27, 2017.
SHIRIKA LA MASOKO KARIAKOO NAFASI: Afisa Masoko Msaidizi (2)

SHIRIKA LA MASOKO KARIAKOO NAFASI: Mhasibu Msaidizi Utawala

SIFA: Elimu ya sekondari na Diploma katika biashara, takwimu, uchumi au elimu inayofanana na hiyo MAWASILIANO: S. L. P.  15789, SIMU:  2180678 Dar es Salaam, Tanzania. Mwisho wa kutuma maombi ni Machi 27, 2017.


Loading...

Toa comment