The House of Favourite Newspapers

Heri ya Sikukuu ya Idd

0

LEO ni Sikukuu ya Iddi El Firti ambapo Watanzania wanaungana na ndugu zao wa Madhehebu ya Kiislam kuadhimisha kumalizika kwa moja ya nguzo muhimu za imani yao. Sikukuu hiyo kitaifa itaadhimishwa mjini Moshi Mkoa wa Kilimanjaro.

 

Mkurugenzi Mtendaji wa Global Publishers Ltd, Eric Shigongo, menejimenti na wafanyakazi wote, wanawatakia Watanzania wote sikukuu njema na mapumziko ya amani katika kuadhimisha siku hii muhimu ya kiroho.

Leave A Reply