The House of Favourite Newspapers

Viongozi wa Ukawa Walivyoipamba Harusi ya Prof. Jay (Video)

0
Mwenyekiti wa Chama cha Maendeleo (Chadema) Freeman Mbowe (kushoto) akimtakia maisha mema ya ndoa Prof. Jay na mkewe Bi Grace Mgonjo usiku wa kuamkia leo Mlimani City jijini Dar es Salaam.
Waziri Mkuu mstaaafu, Edward Lowassa (kushoto) akiongea na mke wa Prof. Jay.
Mwenyekiti wa NCCR-Mageuzi, James Mbatia (katikati) akiongea neno na Waziri Mkuu mstaafu, Frederick Sumaye.
Mbunge wa Arusha Mjini, Godbless Lema (kushoto) akimsikiliza kwa makini Mbunge wa Bukoba Mjini, Alfred Lwakatare.
Prof. Jay, mkewe na mpambe wa biharusi wakifurahia jambo.
Mke wa Lowassa, Mama Regina Lowassa (kulia) akiongea jambo na mmoja wa wageni waalikwa.

(PICHA NA RICHARD BUKOS | GLOBAL PUBLISHERS)

Leave A Reply