The House of Favourite Newspapers

SITASAHAU NILIPOLALA NA MWANAMKE JUU YA KABURI (2)

0

SITASAHAU NILIPOLALA NA MWANAMKE JUU YA KABURI (2)

Hatukutembea sana, tukayafikia makaburi. Watu walikuwa wengi siku hiyo, karibia kila kaburi lilikuwa na wazinzi wakifanya mambo yao. Hawakuogopa lolote, mahali walipopumzika wapendwa, paligeuzwa kuwa vitanda vya kufanyia  ufusika.

 

Tulilifikia kaburi moja ambalo halikuwa na watu, nakumbuka liliandikwa, KIMOTA S. SAMIKE. Binti akajilaza, akapandisha juu kidogo kimini, mambo yote yakawa hadharani. Kumbe hakuvaa ‘kufuli’, bila shaka aliipenda kazi yake!

 

Nilipewa masharti: “Fanya haraka sina muda wa kupoteza, usinishikeshike, hakuna haja ya kuniandaa, hii ni kazi yangu, nimejiandaa toka nyumbani.”

 

Sikumjibu, nilitumbukiza mpini kisimani kwa nguvu zote, hakushituka wala kutikisika, ‘lilikuwa gwiji gumegume magumashi lisilo na hisia sababu ya kufanya ile biashara kwa muda mrefu.’

 

Tukiendelea kushughulika, ghafla nilishikwa mkono wangu kwa nguvu. Nilipogeuka, nilimwona mtu wa kutisha. Alivaa koti, juu alijifunika kofia ya koti lake, uso haukuonekana, kiza kinene kilitanda… sura yake ilikuwa giza!

 

Mtu yule wa kutisha, alininyanyua akiwa kanishika mkono. Binti kuona vile akapiga kelele akijaribu kujiinua, lakini alichelewa, panga kali lilimshukia shingoni. Akakata roho palepale.

 

Nilijinasua katika mkono wa yule mtu wa ajabu, nikapandisha suruali nikikimbia, mtu yule akiwa na upanga uliojaa damu ya kahaba, akanikimbiza.

 

Nilikimbia nikipiga kelele za kuomba msaada. Mtu yule wa kutisha aliendelea kunikimbiza akiwa na panga lake mkononi. Niliyatoka makaburi nikavuka barabara iliyokuwa na magari mengi, ilibaki kidogo nigongwe na magari yale, hata hivyo niliponea chupuchupu.

 

Nikiwa ng’ambo ya pili ya barabara, niligeuka nyuma kutazama kama yule mtu aliendelea kunifuata. Hakuwepo, pengine wingi wa magari ulimfanya ashindwe kuvuka. Hapo nilipata matumaini, nikakimbia kidogo kisha nikaanza kutembea kuelekea nyumbani.

 

Pombe ziliisha bila hiyari yangu. Nilitembea kwa ukakamavu kama askari katika gwaride hata usingeweza kuamini kuwa ni mimi niliyekuwa nimelewa ‘chakari’ muda mchache uliopita. Pombe ilimezwa na hofu, hofu ya kumezwa.

 

Nilifika nyumbani, nikafungua mlango nikiwa siamini kama nilipona katika tukio lile. Niliingia ndani. Nilipowasha taa, sikuamini nilichokiona, yule mtu aliyekuwa akinikimbiza, alikaa juu ya godoro, kashika panga lake mkononi…

 

Itaendelea kesho…

Leave A Reply