The House of Favourite Newspapers

Pichaz: Simba Wakamilisha Mazoezi Uwanja Wa Sokoine

0
Wachezaji wa Simba wakiendelea na mazoezi leo asubuhi katika Uwanja wa Sokoine mbeya kabla ya mechi yao dhidi ya Mbeya City siku ya kesho.

KLABU ya Simba imekamilisha mazoezi yake asubuhi ya leo katika Uwanja wa Sokoine jijini Mbeya, ambapo kesho inatarajiwa kushuka dimbani hapo majira ya saa 10:00 jioni kucheza dhidi ya wenyeji wao Mbeya City.

Simba iliyo kileleni mwa Ligi Kuu Bara kwa ikiwa na pointi 16 mbele ya mbeya City yenye pointi 11.

Mazoezi yakiendelea.

(PICHA: MUSA MATEJA, MBEYA – GLOBAL PUBLISHERS)

Leave A Reply