Simba Yatupwa Nje FA kwa Kichapo cha 3-1, Singida Black Stars Yatinga Fainali
Singida Black Stars wamefuzu Fainali ya Kombe la CRDB FEDERATION CUP baada ya kuifunga Simba SC Bao 3-1 kwenye mchezo wa Nusu Fainali uliomalizika katika Dimba la Tanzanite Kwaraa Babati mkoani Manyara.
Sasa ni Rasmi Fainali ya Kombe…