Davinci na Mocktail Syrups, Zasaini Mkataba na Frabby wa Kusambaza Bidhaa Uokaji keki
Dar es Salaam 31 Julai 2025: Kampuni ya Davinci, inayojihusisha na uzalishaji wa vinywaji vya Cocktail na Mocktail Syrups, imesaini mkataba wa makubaliano na Frabby Tanzania Ltd kwa ajili ya kusambaza bidhaa mbalimbali zinazotumika…
