The House of Favourite Newspapers

Mkurugenzi Halmashauri ya Kongwa Afariki Ajalini -Breaking News

Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Kongwa, Ngusa Izengo, amefariki dunia katika ajali ya gari  iliyotokea usiku wa kuamkia leo huko Chalinze-Nyama nje kidogo ya mji wa Dodoma.

Muonekano wa gari alilokuwa amepanda Ngusa Izengo baada ya kuangukiwa na lori la mafuta.
Taswira nyingine ya ajali hiyo.
Askari wa usalama barabarani wakiwa eneo la ajali.

Comments are closed.