The House of Favourite Newspapers

Biashara United Watambulisha Kocha Mpya

TIMU ya Biashara United ya Mara leo wamemtambulisha kocha mkuu wao ambaye ni raia wa Rwanda, Hitimana Thierry. Kocha huyo amepewa mkataba wa mwaka mmoja kuingoza timu hiyo Ligi Kuu ya Bara.

Kocha Mkuu wa Biashara United raia wa Rwanda, Hitimana Thierry (kushoto)  akiweka wino wa kufundisha timu hiyo.
…Akiongea jambo.

Comments are closed.