The House of Favourite Newspapers

Diva Awananga Wanaume Aliowahi Kuwa Nao Kwenye Mahusiano

 

MTANGAZAJI  wa kituo cha redio cha Clouds FM, Loveness Malinzi ‘Divatheebawse’,  amewarushia madongo wanaume ambao amewahi kuwa nao kwenye mahusiano ya kimapenzi.

 

Kupitia ukurasa wake wa Instagram,  Diva amedaiwa kusema kwamba wanaume wote aliokuwa nao wakati huo walipata umaarufu uupitia jina lake na sasa baada ya kuwaacha, hawana kitu tena.

Diva ameshawahi kuwa kwenye mahusiano na watu kadhaa maarufu kama vile msanii mkongwe wa Bongo Fleva,  Crazy GK, Heri Muziki, MO Racka.

Alichokisema Diva Kupitia ukurasa wake wa Instagram

“Nimegundua watu wote Niliokuwa na mahusiano nao Public na ndio hao hao kama sijawahi kutaja public jua hatujawahi kuwa na mahusiano … Niliokuwa nao wanafahamika , Im always Open yes … hawa wote niliowahi kuwa nao na ni Watu walipata jina sana katika tasnia kwa kutumia Jina la Diva kama Mpenzi wao saa hii kwisha habari yao … hawana Jipya …. hamna anawaongelea hawana so called Kiki tena .. so who made them Famous??? simple answer Yeah ME with a capital letter ……. ndio ujue watu na Nyota zetu bana!. Love me or Hate Me, Ima star and I always Shine. dear Exes mshakuwa underground anzeni tena hamjachelewa 🤣🤣🤣💃💃💃👋🏼 ila ndio hivyo Pambaneni na Hali zenu‬, Once a Star always a star yeahhh lol , truth be told, Ima super Brand 💸💸💸💸 Tukiwa tuna Date Tuwe Tunaheshimiana Jaman tusichukuliane Poa … tena mnapaswa mniamkie sababu we all kno Mnanichek sanaaa Mnamiss eeh headlines ahahahaa …. mnanitajataja mkiwa na ma bestie ndugu Jamaa na marafiki , imebak tu story mpz wangu alikuwa Diva Nyambaf … Hamuwezi nisahau Jaman si Rahisi ati maana wenyewe tu kupata jina mnge hustle hadi magaga yawatoke … mnafikiri mchezo kuwa na jina …. i made it easier n rn y’all dead n gone , Kapishhhh ….,, Dating a Diva is a Million dollar deal yo!. “

‪Nimegundua watu wote Niliokuwa na mahusiano nao Public na ndio hao hao kama sijawahi kutaja public jua hatujawahi kuwa na mahusiano … Niliokuwa nao wanafahamika , Im always Open yes … hawa wote niliowahi kuwa nao na ni Watu walipata jina sana katika tasnia kwa kutumia Jina la Diva kama Mpenzi wao saa hii kwisha habari yao … hawana Jipya …. hamna anawaongelea hawana so called Kiki tena .. so who made them Famous??? simple answer Yeah ME with a capital letter ……. ndio ujue watu na Nyota zetu bana!. Love me or Hate Me, Ima star and I always Shine. dear Exes mshakuwa underground anzeni tena hamjachelewa 🤣🤣🤣💃💃💃👋🏼 ila ndio hivyo Pambaneni na Hali zenu‬, Once a Star always a star yeahhh lol , truth be told, Ima super Brand 💸💸💸💸 Tukiwa tuna Date Tuwe Tunaheshimiana Jaman tusichukuliane Poa … tena mnapaswa mniamkie sababu we all kno Mnanichek sanaaa Mnamiss eeh headlines ahahahaa …. mnanitajataja mkiwa na ma bestie ndugu Jamaa na marafiki , imebak tu story mpz wangu alikuwa Diva Nyambaf … Hamuwezi nisahau Jaman si Rahisi ati maana wenyewe tu kupata jina mnge hustle hadi magaga yawatoke … mnafikiri mchezo kuwa na jina …. i made it easier n rn y’all dead n gone , Kapishhhh ….,, Dating a Diva is a Million dollar deal yo!. #Justsaying #randomthoughs

A post shared by 🌴 Diva 💦 (@divatheebawse) on

Comments are closed.