The House of Favourite Newspapers

BIRTHDAY YA MONALISA ILIVYOKUWA USIKU WA KUMKIA LEO

Monalisa akijishebedua kwa staili ya kidole juu.
Monalisa akicheza kwa staili yake.
Dudubaya (kushoto) akizungumza jambo na Banana Zorro.
Dudubaya akiwa na Miss Mara (2006) Rashida Wanjara (kushoto) na Monalisa.
Q-Chilla na Rashida wakiwa na wadau wao.
Rashida akiyarudi mangoma, kulia ni Miss Geita 2014, Farida Ramadhani nyuma ya Rashida, Vanesa Msoffe.

 

USIKU wa kuamkia leo msanii wa filamu za Kibongo, Yvone Cherry,  ‘Monalisa alifanya sherehe fupi ya kuzaliwa kwake ambapo mpango mzima ulijiri ndani ya Club Legend, Namanga, Kinondoni Jijini Dar.

 

Katika pati hiyo  Monalisa alikataa kutaja miaka yake aliyotimiza lakini mambo yalikuwa si mchezo kwa jinsi watu walivyoruka kwanja na B-Band chini ya Banana Zorro na kisha disko la kukata na shoka kutoka kwa DJ John Dilinga ‘Matroo’.

 

 

HABARI:PICHA / RICHARD BUKOS / GPL   

Comments are closed.