The House of Favourite Newspapers

YANGA YAANIKA HADHARANI MPUNGA WAKE WA MICHANGO

Uongozi wa klabu ya Yanga umeweka hadharani tena fedha ilizozipokea kwenye akaunti yake zinatokana na michango ya mashabiki na wanachama wake.

 

Michango hiyo iliyokusanywa kuanzia Agosti 11 2018 mpaka 23 2018 imefikia jumla ya kiasi cha 4,454, 283.

 

Yanga imezidi kuomba wanachama, mashabiki, wapenzi na wadau wa klabu hiyo kuendelea kujitoa kuisaidia kutokana na kipindi cha mpito ambacho imekuwa ikipitia hivi sasa.

 

Comments are closed.