The House of Favourite Newspapers

MBAO FC YAIVUA UBINGWA GOR MAHIA SPORTPESA SUPER CUP

Mbao FC imekuwa timu ya kwanza ya Tanzania kucheza michuano ya SportPesa Super Cup, hatua ya nusu fainali msimu huu baada ya kuivua ubingwa Gor Mahia ya Kenya baada ya ushindi wa mabao 4-3 ya mikwaju yah penalti katika Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaal.
Mechi hiyo iliisha kwa sare y mbao 1-1 katika dakika 90 za kawaida, ikaamuliwa mikwaju ya penalti.

JIUNGE NA FAMILIA YA GLOBAL TV UPANDE MTANDAO WA MAFANIKIO

Bofya hapa kujiunga na familia ya Global TV Club ==> Global TV Family Club

Comments are closed.