The House of Favourite Newspapers

PICHA: Simba vs Mazembe…Muonekano wa Ndani Ya Uwanja

Muonekano ndani ya Uwanja wa Taifa muda huu.

Watanzania wamejitokeza kuishangilia Simba  kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam leo Jumamosi saa 10 jioni itaikaribisha TP Mazembe ya DR Congo katika mchezo wake wa robo fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika.

Mashabiki wa Simba wakiwa ndani ya Uwanja.
Mashabiki wa Simba wakiendelea kujitokeza uwanja wa Taifa.

(PICHA: NICOTRAC, GPL -UWANJA WA TAIFA)

Comments are closed.