The House of Favourite Newspapers

Deo Kanda Atua Simba Akitokea TP Mazembe

Mshambuliaji raia wa Congo DR, Deo Kanda (29) amesaini mkataba wa mwaka mmoja kujinga na Simba akitokea TP Mazembe. Deo alikuwa mmoja wa wachezaji ambao waliiwezesha timu hiyo ya DRC kushinda Ubingwa wa Afrika mwaka 2009, 2010 na 2013.

Comments are closed.