The House of Favourite Newspapers

Gadiel Michael Akanusha Kusaini Simba

Beki wa kushoto wa Yanga, Gadiel Michael.

BEKI wa kushoto wa Yanga, Gadiel Michael,  amekanusha taarifa zilizozagaa kuwa amesaini mkataba na Simba na kwamba hajafanya mawasiliano yoyote na klabu hiyo.

Amesema suala la  kuongeza mkataba na klabu yake ya sasa  ya Yanga, litakamilika siku chache zijazo baada ya kurejea kutoka kwenye mashindano ya ubingwa kwa nchi za Afrika (Afcon) yanayofanyika Misri.

 

Comments are closed.