The House of Favourite Newspapers

40 ya MZEE MAJUTO: Watoto Wafunguka Usiyoyajua! – Video

SIKU 40 zimetimia tangu Mkongwe wa Filamu nchini, Mzee Athumani Amri ‘King Majuto’, afariki dunia na kuzikwa shambani kwake Katika kijiji cha Kiruku mkoani Tanga.

 

Global TV imetinga Tanga katika kijiji cha Donge ambapo ndipo nyumbani kwa King Majuto ili kuhudhuria 40 ya Mkongwe huyo na hapa tumezungumza na watoto wake kuhusuliana na maandalizi na ratiba kamili ya hafla hiyo.

Comments are closed.