The House of Favourite Newspapers

Leicester City Watwaa Kombe la Fa

0

KLABU ya Leicester City imetwaa ubingwa wa kombe la FA usiku jana kwa kuifunga Chelsea bao 1-0 katika uwanja wa Wembley, mchezo ambao ulioudhuriwa na mashabaki 20,000 kwa mara ya kwanza tangu janga la Corona lilipoingia.

 

Kasper Schmeichel golikipa wa Leicester City aliandikisha rekodi nyingine nzuri ya kuvutia baada ya kutwaa ubingwa huo, kwa kuwa mchezaji wa pili yeye na baba yake mzazi Peter Schmeichel kutwaa ubingwa huo 1994 akiwa na Manchester United. Wengine ni wengine ni Ian Wright akiwa na Arsenal na mwanae Shaun Wright akiwa na Manchester City.

 

Rekodi nyingine iliwekwa na Jimie Vardy kushiriki michuano hii katika ngazi zote 13 toka zile za awali kabisa akiwa na vilabu vidogo alivyoanzia mwaka 2012 na hatimaye kucheza fainali na kutwaa ubingwa,FA mwaka 2021 Uingereza huchezwa na timu 736.

 

Leave A Reply