The House of Favourite Newspapers

Mpiga Tarumbeta wa Bob Marley, Afariki Dunia

0

marley-everlasting-toutMpiga tarumbeta Headley Bennett, ambaye alishiriki katika wimbo wa kwanza wa mwanamuziki maarufu wa nyimbo za rege Bob Marley ‘Judge Not,’ amefariki akiwa na umri wa miaka 85.

Mwanawe Carol Bennett, alithibitisha kifo cha mwanamuziki huyo siku ya Jumapili.

Marley Bennett alishiriki kwa muziki wa Gregory Isaacs na Jimmy Cliff

Carol hakusema sababu maalum ya kifo cha mwanamuziki huyo, lakini alisema babake alikuwa akiugua shinikizo la damu na hivi majusi alipatika na saratani ya kiume.

headlyBenneth alishiriki na wanamuziki wa nyimbo za rege kama vile Bunny Wailer na Gregory Isaacs. Alituzwa na serikali ya Jamaica mwaka wa 2005 kama Mjamaica wa sita mwenye hadhi ya juu.

Leave A Reply