The House of Favourite Newspapers

Mshindi Wa Jiongeze Na M-Pawa Akabidhiwa Kitita Chake

kupokea-1Mshindi wa jiongeze na M-pawa mkazi wa Ngudu Mkoani Mwanza Peter Magina(katiktai) akipokea mfano wa hundi kutoka kwa Mkuu wa Vodacom Tanzania Kanda ya Ziwa,Ayubu Kalufya(kushoto), wakati wa hafla ya makabidhiano iliyofanyika jijini Mwanza, kulia ni Meneja wa duka la kampuni hiyo mkoani humo Jumeo Khamis.kuonyesha-2Mshindi wa jiongeze na M-pawa mkazi wa Ngudu Mkoani Mwanza Peter Magina,akionyesha mfano wa hundi,kwenye hafla ya makabidhiano iliyofanyika jijini Mwanza.kuonyesha-3…Akishuhudiwa na baadhi ya wateja.

 

 

 

Comments are closed.