The House of Favourite Newspapers

KAHABA KUTOKA CHINI-02

0

Rose hakuonekana tena kuwa na imani juu ya Irene ambaye kwake tayari alionekana kuwa msagaji. Kila wakati alikuwa mkimya huku akimwangalia Irene kwa macho ya mshangao, Irene hakutaka kujisikia aibu, kila siku alikuwa akimsisitizia Rose kwamba ili kuepukana na wanaume mbalimbali ambao walikuwa wakimsumbua basi ilikuwa ni lazima akubaliane na kile ambacho alikuwa amemwambia akifanye.

Kwa Rose jambo lile likaonekana kuwa gumu sana kufanyika, isingekuwa rahisi hata mara moja kufanya mapenzi na kingo cha bandia, alikuwa akijiheshimu sana, kufanya jambo lile lilikuwa ni kosa kubwa sana ambalo lingeweza kumsumbua sana katika maisha yake.

Irene hakukoma, kila siku ishu yake ilikuwa ile ile moja tu kwamba ni lazima Rose akubaliane nae kwani ile ndiyo ilikuwa njia pekee ya kuwaepuka wanaume ambao walikuwa wakimfuata kwa kasi sana. Msimamo wa Rose ulikuwa palepale na alipoona kwamba Irene alikuwa akimlazimisha, alitamani kumwambia baba yake lakini alihofia kufanya hivyo.

Kila siku usiku Irene alikuwa na kazi ya kumpapasa Rose mgongoni walipokuwa wakilala usiku. Japokuwa Rose hakuwa akipenda lakini mipapaso ile ilimfanya kuwa katika hali ya tofauti sana.

Katika kipindi hicho Irene akaona ilikuwa ni bora kwanza kubadilisha lengo lake kwa ajili ya kumtia upofu Rose. Alichokifanya katika kipindi hicho, alitaka awe anamlainisha hivyohivyo na kumsaga huku akiwa hatumii kiungo kile. Jambo lake likaonekana kukubalika mwilini mwa Rose, kila siku usiku kazi yao ilikuwa moja tu, kushikana hapa na pale na kisha kuanza kubadilishana mate.

Rose hakuwa na jinsi katika kipindi hicho, aliuona mwili wake ukiwa katika uhitaji mkubwa wa kuwa na mwanaume au mtu yeyote ambaye angeweza kuzimaliza tamaa za mwili wake ambazo zilikuwa zikimshika kupita kawaida. Kwa kitendo cha Irene ambacho alikuwa akikifanya kilionekana kuanza kumbadilisha, miguso mbalimbali ya kimahaba ambayo alikuwa akishikwa ikaonekana kumpagawisha.

Irene hakutaka kumuacha Rose hivi hivi, yeye ndiye alikuwa kungwi wa mambo yale. Kila siku alihakikisha anamsaga Rose. Tayari ndani ya wiki moja Rose akaanza kubadilika, japokuwa hakuwa akifanya mapenzi na mwanaume yeyote yule lakini tamaa za mwili wake zikaonekana kuanza kumuisha.

Ile hali ya kuwatamani wanaume ikaanza kutoweka kabisa, badala ya kuwatamani wanaume akawa akianza kumtamani Irene. Kila alipokuwa akimuona, Rose alikuwa akiweweseka, kwake alimchukulia kama mume wake ambaye alikuwa amkimridhisha sana kitandani.

“Ila ikitokea siku baba akajua,” Rose alimwambia Irene.

“Atajuaje sasa? Kwani utamwambia?”

“Nimwambie! Sijitaki!”

“Sasa atajuaje?”

“Si unajua dunia haina siri hii. Anaweza kujua.”

“Hakuna kitu kama hicho. Dunia ina siri kama watu mtaamua kutunza siri mke wangu,” Irene alimwambia Rose.

“Wewe jiamini tu. Inaweza kutokea siku baba akajua halafu ikawa balaa!”

“Hawezi kujua. Hebu njoo juu yangu my baby!” Irene alimwambia Rose ambaye akamfuata kwa juu na kisha kumkalia.

Hiyo ndio ilikuwa michezo yao ya kila siku. Japokuwa katika kipindi cha nyuma Rose alionekana kutokuuzoea lakini uwepo wa Irene ndani ya nyumba ile ukaonekana kumfanya kuanza kuuzoea mchezo ule ambao ulikuwa mchezo mbaya sana hasa kwa wasichana ambao walikuwa wakiufanya.

Kila siku walikuwa wakijiridhisha chumbani mwao, hawakuwa wakitoka nje hovyo, mara kwa mara walikuwa wakibadilishana mate. Kwa Rose, akaanza kujisikia wivu kila alipomuona Irene akisimama na msichana mwingine au mvulana. Alikuwa akimhitaji sana Irene kiasi ambacho hakutaka kuachana naye kabisa.

Wivu wa mapenzi ukaanza kumsumbua. Kama ambavyo msichana alivyokuwa akijisikia wivu kila alipokuwa akimuona mwanaume wake akiwa amesimama na msichana mwingine ndivyo ilivyokuwa ikitokea kwa Rose. Alimpenda sana Irene, kwake alimuona kuwa kama mume bora ambaye alikuwa akimridhisha kupita kawaida.

“Ushaanza kuniudhi mpenzi,” Rose alimwambia Irene.

“Kwa nini tena?”

“Ulikuwa ukiongea na nani kwenye simu muda wote huo?”

“Nilikuwa naongea na Asha, msichana ninayesoma naye.”

“Unataka kunikasirisha sasa. Unaanza kuuumiza moyo wangu. Unataka waanze kuniibia nini?” Rose alimuuliza Irene huku dhahiri akionekana kushikwa na wivu mkali moyoni.

“Hapana. Huwezi kuibiwa. Wewe ndiye kila kitu kwangu. Ila hata wewe pia unanikasirisha bwana!” Irene alimwambia Rose.

“Toka lini nimekukasirisha?”

“Si umekataa kutumia kile kiungo!”

“Kipi?”

“Kile!”

“Kile nini?”

“Si kile cha siku ile.”

“Kile cha bandia?”

“Ndiyo!”

“Hapana. Mimi nakutaka wewe, sina haja na kitu kama kile,” Rose alimwambia Irene.

Japokuwa Rose ndiyo kwanza alikuwa ameanza kuingia katika mchezo wa usagaji lakini akaonekana kuuvamia kwa kasi kupita kawaida. Mwilini mwake, hakuwa na haja na wanaume, Irene ndiye aliyemridhisha kimwili. Kila siku kazi yao ilikuwa ni ileile, kuchezeana usiku kucha na asubuhi kujifanya kama hakukuwa na kitu kilichokuwa kikiendelea.

Mpaka siku ambayo Irene alikuwa akitakiwa kurudi chuoni Rose akabaki kwenye majonzi makubwa, moyo wake ulikuwa umeumia kupita kawaida. Alikuwa amemzoea sana Irene, kwake alimchukulia kama mume wake ambaye alikuwa akimtimizia haja zote za mwili wake. Alichokifanya Irene ni kumuachia kile kiungo cha bandia.

“Ufanyie kazi hiki. Nikirudi tena nikute upo fresh,” Irene alimwambia ambaye alibaki akikiangalia kiungo kile.

Irene alijua fika kwamba Rose alikuwa akiogopa lakini kitu ambacho alikifanya yeye ni kumuondoa wasiwasi kila siku. Maneno matamu ya Irene ambayo yalikuwa yakisikika mara kwa mara masikioni mwake yakamfanya kutamani kukijaribu kiungo kile ambacho kilikuwa ni plastiki laini.

Usiku wa siku hiyo Rose akajaribu kukitumia kiungo kile. Maumivu yalikuwa makubwa chini ya kitovu kiasi kwamba akaacha mara moja.

Maisha ya usagaji yakawa yamekwishamuingia Rose na hakujua ni kwa namna gani alitakiwa kujinasua. Matamanio kwa mwanaume wala hayakuwepo kabisa, kila siku alikuwa akiwatamani wanawake wenzake tu. Kila alipomuona mwanamke mwenye makalio makubwa, mwili wake ulimsisimka kupita kawaida, alikuwa akitamani kusagana tu.

****

“Ila kiukweli ninataka kumuoa Rose,” Peter alimwambia baba yake, mzee Edward.

“Umempenda kweli?” Mzee Edward alimuuliza Peter.

“Ndiyo baba!”

“Basi hakuna tatizo. Nenda kasome kwanza na kisha ukirudi utamuoa tu!” Mzee Edward alimwambia kijana wake.

“Atakubali kweli?”

“Kwa nini asikubali? Nitaongea na baba yake!”

Hayo yalikuwa maongezi ya watu wawili, baba na mwana. Kila siku kijana Peter alimwambia baba yake kuhusu Rose, alikufa na kuoza na katika kipindi hicho hakukuwa na mtu ambaye alitamani kuwa naye kama msichana huyo mrembo.

Siku ya kwanza kuonana na Rose ilikuwa katika kipindi ambacho wanajeshi walikuwa wamekusanyika kwa ajili ya kufanya sherehe ya kuwapongeza wanajeshi ambao walikuwa wamepandishwa vyeo hasa mara baada ya kutoka katika mafunzo ya kikomandoo nchini Marekani. Katika sherehe hiyo ndipo ambapo Peter aliweza kukutana na msichana Rose.

Moyo wa Peter ukafa na kuoza kwa Rose, uzuri wake machoni mwake ulionekana kuwa mithili ya malaika, alijaribu kuongea nae siku ile lakini Rose hakuonekana kuwa radhi kuongea na Peter kwa sababu katika maisha yake hakutaka kuwa karibu sana na wanaume.

Peter akaumia ila alichokifanya ni kupeleleza Rose alikuwa mtoto wa nani. Alipokuja kufahamu kwamba alikuwa mtoto wa Bwana Shedrack, hapo akaona kwamba kungekuwa na wepesi wa yeye kumpata Rose kutokana na ukaribu wa baba yake na Bwana Shedrack.

Bwana Edward hakuwa na jinsi, alipoambiwa na mtoto wake, Peter kwamba alikuwa akimtaka Rose na kuwa wapenzi na baadae kufunga nae ndoa akamfikishia ujumbe ule mzee mwenzake, Bwana Shedrack ambaye aliona kwamba kwa kitendo cha Rose kuwa na Peter basi urafiki wao ungedumu zaidi.

“Hilo nalo neno. Nitaongea nae” Bwana Shedrack alimwambia Bwana Edward ambaye akakenua kuonyesha furaha aliyokuwa nayo.

“Utaongea nae lini sasa?”

“Bado. Si unajua kwamba kwa sasa hivi anasoma”

“Basi haina tatizo. Wewe ongea nae, katika kipindi ambacho Peter atarudi kutoka masomoni Afrika Kusini, basi aweze kumuoa. Itapendeza sana” Mzee Edward alimwambia Bwana Shedrack.

“Hakuna tatizo. Atarudi baada ya miaka mingapi?”

“Miwili tu”

“Basi hakuna tatizo kabisa. Unajua sisi ni marafiki, vitu kama hivi vitatufanya tuwe karibu sana na kuwa kama ndugu wa hiari” Bwana Shedrack alimwambia Bwana Edward.

“Hata mimi nimeliona hilo”

Bwana Shedrack hakutaka kufanya vitu kwa haraka sana, kwanza akamuacha Rose amalize shule na kisha kumfikishia kile ambacho aliambiwa na Bwana Edward. Katika kitu ambacho alikiona kama kingefaa sana kumfanya Rose kutokuwa na mwanaume ni kumfungia sana ndani. Hivyo ndivyo ilivyokuwa, mara baada ya kumaliza shule, Bwana Shedrack hakutaka Rose atoke nje.

Hata matokeo yalipotoka na Rose kufaulu na kutakiwa kujiunga na shule ya Benjamin William Mkapa ya jijini Dar es Salaam, hakutaka kumpeleka shuleni. Alichokiamua ni kwamba Rose aendelee kubaki ndani ya nyumba tu kwa kuogopa kwamba kama angekwenda tena shule, hasa Benjamin na kukutana na wanaume mbalimbali, wangeweza kumshawishi, afanye nao mapenzi na hatimae kuanguka kabisa mapenzini kwa kijana mmoja hivyo kuwa mtihani mkubwa kwa Peter hapo baadae.

Hiyo ikawa mwanzo wa sababu kwa Bwana Shedrack kuwa mkali kwa binti yake. Hakutaka kumuona akisimama na mwanaume, na kila alipomuona alikuwa akimkaripia sana na hata kumpiga. Kwake, alitaka Rose aendelee kuwa vile vile, msichana ambaye hakuwa amekutana na mwanaume katika maisha yake na kulala kitanda kimoja. Japokuwa alikuwa makini kwa kila kitu, Bwana Shedrack alifanya kosa sehemu moja tu, kumleta Irene ndani ya nyumba ile, msichana ambaye alikuja kuharibu kila kitu.

Je, nini kitaendelea?
Tukutane Jumatano hapahapa.

Leave A Reply