Mkurugenzi Mkuu wa Ofisi ya Taifa ya Takwimu Dkt. Albina Chuwa akizungumza na waandishi wa habari mara baada ya kuhutubia kwenye maadhimisho ya Siku ya Takwimu Duniani yaliyofanyika leo katika Chuo cha Takwimu Mashariki mwa Afrika jijini Dar es Salaam. Kauli mbiu ya maadhimisho hayo ni “Takwimu Bora, Maisha Bora”.
imejipanga vyema katika kuhakikisha takwimu bora zinapatikana kwa wakati ili zisaidie Taifa katika kutekeleza malengo ya mpango huo.