The House of Favourite Newspapers

Baadhi ya vituo vyaishiwa karatasi Dar

0

1.JPG

Wananchi katika kituo cha Kimara Stop Over jijini Dar es Salaam  mpaka sasa hawajapiga kura kwa kukosekana karatasi za kupigia kura huku vituo vya kura katika kata 4 za Jimbo la Ukonga na vituo vya kata 6 za Jimbo la Segerea vikiishiwa karatasi za kupigia kura.

Leave A Reply