The House of Favourite Newspapers

Abdi Banda & Mkewe Zabibu Kiba Walivyocheza Blues, Watu Hoi – Video

Baada ya ndoa na harusi kubwa ya Msakata Kabumbu, Abdi Banda, na Mdogo wa Msanii wa Bongo Fleva, Alikiba anayeitwa Zabibu Kiba kufanyika jijini Dar, hatimaye harusi hiyo ikahamishiwa mkoani Tanga ambapo ndipo nyumbani kwa bwana harusi na kufanyika bonge la pati katika ukumbi wa Tanga Beach Resort.

 

Shuhudia maharusi hao walivyocheza muziki wa Blues ukumbini, watu hoi.

 

Comments are closed.